Na salama Ngale
Kiungo wa kimataifa kutoka tz bara Mrisho Khalfan Ngasa amesain mkataba wa miaka
miwili katika klabu ya fanja nchini Oman
Ngasa ambaye amewahi kuichezea klabu ya yanga , kukipiga katika klabu ya simba na kupita katika klabu ya Azam aliuvunja mkataba wake wa miaka minne katika klabu ya free state ya afrika kusin na kujiunga na mabingwa hao wa oman kwa kandareasio ya miaka miwiki

No comments:
Post a Comment