Kati ya bondia anayeongoza kwa vituko kwa sasa ni Tyson Fury Wa Uingereza.
Mara
atangaze kuwa amestaafu, mara aseme amerejea. Kama hiyo haitoshi,
ameamua kutupia picha mtandaoni akiwa na mikanda yake yote.
Kuna
baadhi ya wadau wamekuwa wakisema anandea kwenye ukichaa. Lakini yeye
amesisitiza alishakuwa kichaa kitambo na ameishapona. Huyo ndiyo Fury
bana.

No comments:
Post a Comment